• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Mkurugenzi Hai Awataka Watumishi Kuweka Malengo

Imetumwa: January 4th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kuweka malengo ya kuwaongoza kwenye mwaka unaoanza wa 2021.

Akitoa salamu za Mwaka Mpya kwa watumishi wa makao makuu ya halmashauri hiyo, Sintoo amesema ni utamaduni mzuri kwa watu kujiwekea malengo ya utekelezaji wa mipango ya kazi lakini pia waweke mipango ya namna ya kutekeleza mipango ya nyumbani.

Amewataka watumishi hao kuwa na utamaduni wa kujiwekea malengo na kwamba wajitahidi kuzingatia utekelezaji wake ikiwa ni njia moja ya uhakika kufikia mafanikio katika kazi zao lakini pia maendeleo ya familia zao.

Pamoja na salamu hizo; Sintoo ametumia kikao hicho kuwasisitizia watumishi wa umma kuhusu utekelezaji wa majukumu yao katika kuwahudumia wananchi wa Wilaya ya Hai kupitia Idara na Vitengo wanavyofanyia kazi.

“Serikali imetuleta hapa tuwahudumie wananchi na tunatakiwa kuwahudumia kwa nguvu zetu zote kuhakikisha wanaridhika na huduma zetu”

“Ikitokea tunakutana na mwananchi anazunguka kwenye maeneo ya ofisi; tuwasaidie kufika kwenye ofisi wanazohitaji kupata huduma” Ameongeza Sintoo.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2020 October 10, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2020 October 10, 2020
  • TANGAZO LA USIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2020 October 20, 2020
  • Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo 2020 May 30, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Diwani Bomang'ombe Aahidi Kusaidia Wenye Uhitaji, Ajira kwa Vijana

    January 12, 2021
  • 'Hai Rural Teachers SACOSS' Wapata Uongozi Mpya

    January 10, 2021
  • Mbunge wa Hai Akabidhi Vifaa Tiba Zahanati ya Kware

    January 09, 2021
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Hai Aridhishwa Maandalizi Kupokea Kidato cha Kwanza Hai Sekondari

    January 06, 2021
  • Ona Yote

Video

Wilaya ya Hai Nafasi ya 4 Kitaifa Darasa la Saba 2020
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi: 0752195133

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai