• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wanufaika wa TASAF Hai Waishukuru Serikali Kuwathamini

Imetumwa: March 17th, 2021

WANUFAIKA wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wameishukuru Serikali kwa kuwawezesha kiuchumi kupitia ruzuku wanayopokea, hali iliyowaondolea umaskini uliokithiri katika kaya zao kutokana na kuwa na uhakika wa kuendesha maisha yao na ya familia zao.


Pia wamewashauri wanufaika wengine kuweka akiba, ili ruzuku hiyo iwaondoe kwenye umaskini kama serikali ilivyodhamiria.


Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika Kijiji Cha Kwasadala Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wakati wakipokea fedha hizo leo ,wanufaika hao wa TASAF walisema awali kabla ya kuingizwa katika mpango huo, walikuwa na maisha magumu kutokana na kuishi katika nyumba za tende huku hali ya lishe na elimu kwa watoto ikiwa ni shida.


Bi.Munieshi Mose ambaye ni mnufaika wamuda Mrefu  amekiri kuwa TASAF, imemtoa katika umaskini baada ya kuanza ufugaji wa mifugo mbalimbali pamoja na kuku baada ya kuanza kupokea fedha za ruzuku kutoka katika mfuko huo, ambapo sasa inamuwezesha kupata mahitaji yafamilia ikiwa nipamoja na kumuuguza mine wake ambae ni mgonjwa.


Mkazi mwingine wa Kitongoji cha Matowo Kijiji Cha Kwasadala Nuru Seifu Mtela ameiomba serikali kuangalia uwezekano wakuwaongezea kiwango Cha fedha hasa kwa wale wanaopokea kiwango Cha chini kinachoanzia shilingi elfu 10 Hadi elfu 20 alisema kuwa itawasaidia zaidi kuinuka kiuchumi.


Amesema"tunatoa shukurani kwaserikali yetu kwakuweza kutusaidia lakini tuko tofauti,Kuna ambao wanasaidiwa kukifungu chachini na wengine kifungu Cha juu,kwamfano sisi elfu 10 Hadi 20,hiyo nayo serikali yetu ingetuangalia ikatuongezea hapo ata kidogo kwasababu Shilingi elfu 10 au 20 unakwenda nayo sasa ukienda nayo usipokuwa na busara utajikuta Kila siku tu unakwenda nakurudi hivihivi,kweli serikali imetutizama vizuri sasa naiomba uwatazame wale wa chini".


Pia amewashahuri wanufaika wengine wajitahidi kuweka akiba, ili wafanye mambo ya maana ili hata mradi utakapoisha wawe na miradi endelevu itakayowasaidia wao na jamii inayowazunguka.


Kwa upande wake Mratibu wa TASAF Wilaya ya Hai Bw. Michael Mumburi amesema kuwa TASAF Wilaya ya Hai mpaka sasa imefanikiwa kuzifikia Kaya 3,533 katika kipindi Cha malipo ya mwezi Novemba na Disemba 2020 ambapo imepokea kiasi Cha Shilingi milioni 185,131,870



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2020 October 10, 2020
  • TANGAZO LA KAZI APRILI 2021 April 20, 2021
  • Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo 2020 May 30, 2020
  • Joining Instruction Harambee Secondary School June 24, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • "Tumieni Fedha Kutekeleza Miradi Husika" - Mwenyekiti Rutaraka

    April 20, 2021
  • Wananchi Wametakiwa Kupanda na Kutunza Miti

    April 13, 2021
  • Mbunge Hai Achochea Maendeleo Kutumia Mfuko wa Jimbo

    April 04, 2021
  • Wanufaika wa TASAF Hai Waishukuru Serikali Kuwathamini

    March 17, 2021
  • Ona Yote

Video

Wilaya ya Hai Nafasi ya 4 Kitaifa Darasa la Saba 2020
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi: 0752195133

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai