Imetumwa: August 23rd, 2022
Zoezi la Sensa kwa Wilaya ya Hai limeanza na linaendelea vizuri hadi sasa katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya na hakuna changamoto kubwa iliyojitokeza.
Akihojiwa na waandishi wa habari Mkuu wa w...
Imetumwa: August 22nd, 2022
Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wote wamelenga kuwahudumia wananchi.
Wito huo umetolewa na kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya...
Imetumwa: August 22nd, 2022
Imeelezwa kuwa kesi nyingi za ukatili wa kijinsia zinazopelekwa mahakamani zinakosa ushahidi kutokana na mila potofu zinazoendelea katika jamii.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa Ustawi wa jamii ...