• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Mipango na Takwimu

UTANGULIZI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-

Mipango

Takwimu

Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)

 Kwa sasa idara ina jumla ya watumishi 5 ambapo kuna mkuu wa idara (DPLO), Wachumi watatu (3) na Mtakwimu mmoja (1).

KAZI ZA IDARA

  • Kuratibu shughuli za maandalizi ya bajeti ya Halmashauri
  • Kuratibu utayarishaji wa utekelezaji wa mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kuratibu shughuli za ukusanyaji, uchambuzi, utunzaji na tafsiri ya takwimu mbalimbali kwa ajii ya matumizi hususani katika upangaji miradi ya maendeleo.
  • Kuratibu shughuli za utekelezaji wa miradi mbalimbli ya maendeleo ya Wilaya
  • Kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali (project write ups) kwa malengo ya kuyatumia kuombea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali.
  • Kuratibu shughuli za mipango shirikishi jamii
  • Katibu wa kamati ya wataaalam ya Halmashauri
  • Katibu wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Kuratibu mapitio ya utayarishaji wa taarifa mbalimbali za Wilaya (District Profile)  kwa mfano: Social Economic Profile, Investment Profile etc.
  • Kuratibu maandalizi ya mpango wa utekelezaji Ilani ya uchaguzi pamoja na taarifa zake za utekeleaji (za nusu mwaka na za mwaka mzima).
  • Kutoa ushauri katika masuala ya kiuchumi na kuinua pato la mkazi kwa kuimarisha kilimo na ufugaji wa kisasa pamoja na shughuli nyingine za kiuchumi.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020 (WASICHANA) December 06, 2019
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020 (WAVULANA) December 06, 2019
  • Majina ya Waombaji wa nafasi ya BVR Kit Operator July 10, 2019
  • Matokeo ya Kidato cha Sita - Shule ya Sekondari Harambee July 12, 2019
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Watumishi wa Umma Wilayani Hai Watakiwa Kutafuta Suluhu ya Changamoto kwa Kushirikiana

    December 12, 2019
  • Mkurugenzi Wilaya ya Hai Awataka Watumishi Kuheshimiana

    December 02, 2019
  • Mkuu wa Mkoa Ampongeza DC Vyanzo vya Mapato Wilaya ya Hai

    November 29, 2019
  • Serikali Wilayani Hai Yaridhishwa na Utendajikazi wa Jeshi la Polisi

    November 27, 2019
  • Ona Yote

Video

Mwenge wa Uhuru 2019
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2018 Shule za Wilaya ya Hai
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2018 Mkoa wa Kilimanjaro
  • MAtokeo ya Darasa la Saba 2018 Mikoa Yote
  • Planrep
  • TANEPS
  • Majukumu Ya Meya/Mwenyekiti wa Halmashauri,Madiwani,Viongozi wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji.
  • Blog ya Wilaya
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2017
  • Mikopo kwa Wanawake na Vijana

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi: 0752195133

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai