Afisa Elimu Shule za Msingi Christopher Wangwe akiwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo taarifa ya matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2020 ambapo Halmashauri hiyo imeibuka nafasi ya 4 kitaifa na nafasi 2 kwa mkoa wa Kilimanjaro.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi: 0752195133
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai