• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Askari Wa Jeshi La Akiba Watakiwa Kusimamia Kiapo

Imetumwa: December 8th, 2021

SERIKALI wilaya ya Hai  mkoa wa Kilimanjaro imewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuzingatia maadili na nidhamu ya kazi ili kuimarisha ulinzi na usalama na kuwa waadilifu pamoja na kuchunga kiapo cha utii ili watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Mkuu wa wilaya hiyo Juma Irando alitoa kauli hiyo Dec 08, 2021 wakati akifunga mafunzo kwa askari wa jeshi hilo katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru ambapo amewataka kushirikiana na Jamii na kuwa walinzi wa mfano kwa kuwasaidia Wananchi matatizo mbalimbali ya kiusalama zaidi pia wawe wanatoa taarifa za Rushwa bila kusita endapo watabaini kuna vitendo au viashiria.

Mkuu huyo wa wilaya aliwataka kushirikiana na Jamii na kuwa walinzi wa mfano kwa kuwasaidia Wananchi katika matatizo mbalimbali ya kiusalama.

Aliwataka askari  hao kuhakikisha mafunzo waliyopata wanatekeleza kwa vitendo na kuwa mfano wa kuigwa kwenye jamii inayowazuka.

“Askari wengine wa jeshi la akiba wakipata mafunzo hayo huonesha ubabe kwa jamii bila sababu ya msingi na tumekuwa tukiletewa malalamiko yao na kesi zao tunazo”

“Idadi ya askari waliopo hawatoshi ndiyo maana serikali yetu ilibuni jeshi hili la akiba ili liweze kuziba mapengo haya badala ya kutengeneza jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania na vyombo vingine vya ulinzi katika kulinda usalama wan chi yetu”

Aidha amewataka kutofumbia macho viashiria vyovyote vinavyoonesha dalili ya kukwamisha kasi ya utendaji wa serikali ya awamu ya sita  akiwataka kuisaidia  halmashauri  hiyo katika kuongeza makusanyo ya mapato.

DC Irando alipongeza juhudi za mshauri wa jeshi la akiba katika  wilaya  hiyo,Meja Gwamaka Ngondya  kwa  kuwaandaa vijana wanaoshiriki mafunzo  hayo ambayo yamewafanya kuwa  wakakamavu kiaskari kwa kuilinda nchi yao na kupambana na uhalifu wa aina yoyote katika mkoa huo  na Taifa kwa ujumla.

Awali akisoma risala ya wahitimu hao , Andrew Msuya  alisema mafunzo hayo yamekabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama za kuchangia michango mbali mbali inayohusu mafunzo kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.

Mafunzo hayo ya jeshi la akiba wilayani Hai  yalianza rasmi Julai 19  mwaka huu  ambapo jumla ya wanafunzi 84 walianza na waliofanikiwa kuhitimu ni 43  kati yao wanaume 35 na wanawake ni 8.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Bweni La Shule Ya Machame Kukamilika Kabla Ya June 19

    May 29, 2025
  • Vijana Wasauriwa Kutumia Fursa

    May 27, 2025
  • Wafanyabiashara Wa St Stend Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Wafanyabiashara Wa Send Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai