• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Hai Yapongezwa Kwa Kuandaa Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa

Imetumwa: May 28th, 2024

Katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda  ametoa pongezi kwa uongozi wa wilaya ya Hai kwa kuandaa maadhimisho ya wiki ya maziwa yanayo adhimishwa tarehe 28/05/2024 hadi tarehe 1/06/2024.

Nzunda ametoa pongezi hizo wakati akifungua maadhio hayo kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega yanayofanyika katika viwanja vya snow View wilayani Hai, ambapo amesisitiza umuhimu wa wananchi kunywa maziwa.

Mhe. Waziri na katibu Mkuu wameniambia niwapongeze kwa kujitoa, kujipanga na kuthamini siku hii ya maziwa duniani ambapo kitaifa inafanyika kule Mwanza, na kwa sababu hiyo wameniagiza kwamba mwaka 2025 Mungu akituweka hai Wizara itaandaa kwa kushirikiana na ninyi Hai.

Lakini la pili nimeomba mitamba ya ngombe wa maziwa ili Hai nayo ipate mitamba bora kwa ajili ya kuzalisha maziwa, ni matumaini yangu kwamba wizara haitatutupa. Ameeleza

Awali akimkaribisha mgeni rasmi, mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa amemuomba katibu Tawala kufikisha maombi ya wilaya ya kupata mbegu bora kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maziwa wilayani Hai.

tunakuomba Katibu Tawala wa mkoa utufikishie maombi yetu kwa waziri ,wilaya ya Hai inazalisha maziwa mengi kwa mkoa wa Kilimanjaro tuonaomba , atupatie mbegu mpya za kisasa za uzalishaji wa maziwa kwasababu hayo ndio mambo yetu tuliyo yazoea, maziwa haya tunayo kusanya tunayakusanya kwa ubora ili tuweze kutengeneza soko

Awali akisoma taarifa ya maziwa Mkuu wa Divisheni Kilimo, Mifugo na Uvuvi David Lekei amesema katika wilaya ya Hai maziwa yanasindikwa na vyama vya ushirika vya maziwa alivyo vitaja  kuwa ni Nronga, Kalali, Marukeni, Nguni, Mamba pamoja na vyama vingine.

Naye Mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Hai Edmund Rutaraka ameahidi halmashauri kuendelea kuwawezesha wazalishaji na wafugaji wa ngombe wa maziwa kwa kuwawekea mazingira wezeshi ikiwa ni pamoja na mikopo isiyo na riba inayo tokana na mapato ya ndani mara baada ya dirisha kufunguliwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ameongeza Anna Boniface

    March 24, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai