Kujikinga na maambukizi ya uogonjwa wa homa kali mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unatakiwa kufanya yafuatayo:
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji safi yanayotiririka na sabuni :-
- kila baada ya kukohoa au kupiga chafya.
- baada ya kumhudumia mgonjwa anayehisiwa au aliyethibitishwa kuwa na maambukizi ya corona
- kabla na baada ya kuandaa chakula
- kabla ya kula kitu chochote
- kila baada ya kutoka chooni
- baada ya kushika mnyama au kinyesi cha mnyama
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai