• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Katibu Tawala Mkoa Wa Kilimanjaro Tixon Nzunda Afariki Dunia Kwa Ajali Ya Gari

Imetumwa: June 18th, 2024


Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda, na dereva wake, wamefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea leo mchana katika eneo la Mjohoroni-Palestina, Kata ya KIA, Wilaya ya Hai, mkoani hapa.

Dkt. Nzunda, alikuwa akielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwente mapokezi ya  Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango.

Marehemu Dk. Nzunda na dereva wake, walipoteza maisha leo alasiri, baada ya gari lake aina ya VXR, kugongana uso kwa uso na lori la kubeba nishati ya gesi safi, mali ya Kampuni ya Orange Gas, lenye namba za usajili T 655 ABY, aina ya Scania lililokuwa likitokea Arusha kwenda Moshi.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, akitangaza taarifa za kifo cha Dk. Nzunda, amesema Katibu Tawala huyo na dereva wake walipoteza maisha, majira ya saa 8:30 mchana katika eneo la Mjohoroni (Palestina), Wilaya ya Hai.

"Alipofika kwenye eneo hili (Mjohoroni-Palestina), ambalo lori kama unaliona lilikuwa speed (kasi) na wao walokuwa speed, kwa hiyo wamegongana uso kwa uso na kusababisha kifo chake.

"Kwa hiyo napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro, kwamba tumepata msiba mkubwa wa Katibu Tawala wetu wa Mkoa na nimeshamjilisha Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI, ili mheshimiwa Waziri nae atawajulisha viongozi wetu wakuu wa nchi yetu."

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP), Simon Maigwa, amesema magari mawili  yaliyogongana na kusababisha vifo viwili ambaye ni RAS pamoja na dereva wake.

Kwa mujibu wa SACP- Maigwa, chanzo cha ajali hiyo kinachunguzwa.

Aidha, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi, amempa pole Mkuu wa Mkoa huo, kwa kuondokewa na mtumishi mwenzake ambaye aliaminiwa na Rais, Samia Suluhu Hassan ya kufanya kazi kama Katibu Tawala wa Mkoa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ameongeza Anna Boniface

    March 24, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai