Mkuu wa Wilaya ya Hai Juma Irando akimwagilia mti baada ya kuupanda ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania bara.
Miti hii ilitolewa na kupewa bure kwa wananchi wote walio hitaji katika uwanja wa maadhimisho hayo na taasisi ya Kijani Pamoja ikiwa ni sehemu ya kuifadhi mazingira.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai