Mkimbiza Mwenge wa uhuru kitaifa Sahili Geraruma amefungua barabara ya St. Dorcas iliyopo kata ya Muungano wilaya ya Hai yenye thamani ya shilingi 417,115,485 na urefu wa mita 680 ambapo barabara hiyo itarahisha usafiri kwa wakazi wa eneo la Dorcas wanaotumia barabara hiyo kutoka Bomang’ombe na maeneo mengine.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai