Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo ametowa wito kwa waandikishaji kutoa kipaumbele kwa watu wa makundi maalum ili kuwawezesha kushiriki vema katika zoezi hili muhimu.
Sintoo ametoa wito huo wakati akijiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika kitongoji cha Bomani kata ya Bomang'ombe na kutaja makundi hayo kuwa ni pamoja na wazee, wajawazito, wenye ulemavu ,wenye watoto wodogo na wanao nyonyesha.
Zoezi la uandikishaji umeanza Oktoba 8 na unatarajiwa kukamilika Oktoba 14 mwaka huu.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai