• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wafugaji Wa Nyuki Watakiwa Kufuata Taratibu Za Kuhifadhi Asali

Imetumwa: February 2nd, 2026

Wafugaji wa nyuki na wauzaji wa asali wametakiwa kuepuka kuhifadhi asali katika chupa zilizotumika awali, zikiwemo chupa za maji au vinywaji baridi, ili kulinda ubora na thamani ya asali wanayozalisha.

Wito huo umetolewa na mtaalamu wa ufugaji nyuki, Johnson Ngondi january 30,2026 wakati akitoa elimu ya ufugaji nyuki wa kisasa kwa wafugaji katika kijiji cha Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki wilaya ya Hai.

Ngondi amesema kuhifadhi asali katika chupa zilizotumika husababisha asali kufyonza harufu iliyobaki kwenye vyombo hivyo, jambo linalochangia kupoteza ubora wake na kushusha thamani sokoni. Ameeleza kuwa wafugaji wanapaswa kutumia vyombo vipya maalum vya plastiki au chupa safi zenye muonekano wa kilichopo ndani, ambavyo havijatumika katika matumizi mengine.

Akizungumzia usalama wakati wa uvunaji wa asali, afisa nyuki msaidizi Halmashauri ya wilaya ya Hai  Erick Cosma amesema matumizi ya vifaa maalum kama vazi la kinga na glovu humwezesha mfugaji kuwa salama zaidi na kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza wakati wa kuvuna asali.

Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Machame Mashariki, Jordan Ngowi, amesema mafunzo hayo yatasaidia wafugaji kuanza na kuendeleza ufugaji wa nyuki kwa kutumia mbinu za kisasa, hali itakayoongeza uzalishaji na kipato kwa wananchi wa eneo hilo.

Nao baadhi ya wanufaika wa mafunzo hayo, Wilson Shoo na Ana Masawa, wamesema elimu waliyoipata itawawezesha kufuga nyuki kwa tija zaidi, huku wakiwahamasisha wananchi wengine kuwekeza katika ufugaji nyuki wakisema ni shughuli yenye faida ya uhakika.

Matangazo

  • WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOCHAGULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 19, 2025
  • TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 JIMBO LA HAI October 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA UCHAGUZI MKUU July 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA, MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MHUDUMU WA JIKONI June 02, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Miundo Mbinu Wa Shule Kunufaisha Wananchi Wa Romu

    February 06, 2026
  • Wananchi Watakiwa Kutumia Mifereji Kuboresha Kilimo

    February 06, 2026
  • Kata Ya Kia Waishukuru Serikali Kwa Kubiresha Mioundo Mbinu Ya Barabara.

    February 06, 2026
  • Uwekaji Wa Taa Kuwanufaisha Wafanyabiashara

    February 06, 2026
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • toto
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • situs toto
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto