• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wananchi Waishukuru Serikali Kwa Utatuzi Wa Changamoto Zinazowakabili

Imetumwa: January 22nd, 2026


Wananchi wa kitongoji cha Nkwamakuu kata ya Masama Kusini kilichopo Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wameshukuru serikali kwa kusikiliza changamoto zilizopo kwenye kitongoji chao kwa kipindi cha muda mrefu na kuahidi kutoa ushirikiano kwa  serikali  katika kutatua changamoto zinazo wakabili, Changamoto zilizotolewa mbele ya Diwani wa kata ya Masama Kusini Mhe. Cedric Benjamini Pangani ni pamoja na uchakavu wa miundombinu katika shule ya msingi Nkwamakuu ambayo ni jiko la kupikia chakula cha wanafunzi, vyoo, stoo pamoja na uhitaji wa darasa moja


Nae Mweyekiti wa Kitongoji cha Nkwamakuu ndugu Jorome Lema ametoa ombi kwa serikali kuitupia jicho shule ya Nkwamakuu kwa ukarabati wa majengo na huduma za msingi ili iendelee kuongeza ufaulu zaidi,pia amewataka wananchi wa kitongoji na wakazi wa maeneo ya kar

Kwa upande wake diwani wa kata ya masama Kusini Mhe. Cedric Pangani amepokea changamoto zilizotajwa na wajumbe wa shule na amekiri kuwepo kwa ubovu wa jiko la shule ambalo limekuwa kero kubwa katika shule hiyo, amesema jiko hilo litabomolewa na kujengwa jiko jipya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali pamoja na ofisi ya mbunge wa jimbo la Hai.

Ameongeza kuwa utunzaji wa mazingira ni jukumu la kila mwananchi hivyo wahakikishe wanatunza miti inayopandwa kwenye maeneo ya shule, ikiwa ni pamoja na kutolisha mifugo kwenye maeneo ya shule.

Pangani amewapongeza waalimu na wafanyakazi wote wa shule kwa juhudi kubwa wanayofanya yakutoa elimu akisema ualimu ni wito kutoka kwa mungu hivyo waendelee na moyo huo huo, sambamba na hilo amezungumza na wanafunzi wa shule hiyo akiwasihi kuendelea kujisomea kwa bidii ili kukuza ufaulu zaidi kwenye shule hiyo

Matangazo

  • WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALIOCHAGULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 19, 2025
  • TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 JIMBO LA HAI October 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA UCHAGUZI MKUU July 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA, MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MHUDUMU WA JIKONI June 02, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Wafugaji Wa Nyuki Watakiwa Kufuata Taratibu Za Kuhifadhi Asali

    February 02, 2026
  • Jukwa La Wazazi Kukuza Taaluma

    January 29, 2026
  • Kukamilika Kwa Maabara Kuchochea Wanafunzi Kupenda Sayansi

    January 28, 2026
  • Wananchi Watakiwa Kushiriki Katika Utekelezaji Wa Miradi

    January 28, 2026
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88