Mwenyekiti wa kamati ya Sensa wilaya ya Hai na mkuu wa wilaya hiyo Juma Irando amewataka wananchi wilayani humo kutoa ushirikiano kwa timu ya Sensa ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa sahihi kwenye zoezi la Sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika nchi nzima Agosti 23, 2022.
"Niwaombe wananchi wote wa wilaya ya Hai tutoe taarifa sahihi kwa makarani na timu nzima ya Sensa katika wilaya yetu muda utakapokuwa umefika kwa ajili ya maendeleo yetu, tunajua kwamba Sensa ni muhimu kwa ajili ya maendeleo, wananchi wote wa wilaya ya Hai tujiandae kuhesabiwa"
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai