Wananchi wa Kata ya Machame Narumu Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kutumia fursa ya upatikanaji wa maji kupitia mfereji wa Makeresho ulioko katika kata hiyo kwa ajili ya shughuli za kilimo ili kujiongezea kipato.
Kauli hiyo imetolewa na Diwani wa Kata ya Machame Narumu Patrick Munishi februari 6,2026 katika ukumbi wa halmshauri ya wilaya ya Hai wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa robo ya pili ya mwaka 2025 inayoanzia oktoba hadi mwezi disemba.
Diwani huyo amesema kuwa shughuli za kilimo ni uti wa mgongo wa wakazi wa kata hiyo,hivyo ni vyema ukawekwa utaratibu wa matumizi yake kwani mfereji huo umekuwa ukitumiwa pia na mwekezaji aliyeko katika eneo hilo
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai