Imetumwa: December 5th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewaagiza wakandarasi wanaofanya matengenezo kwenye barabara ya Bwani –Kyeeri kukamilisha kazi hiyo kwa wakati kulingana na mkataba waliopewa ambao unaonyesha ...
Imetumwa: November 22nd, 2018
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameahidi kufanya utafiti ndani ya siku saba ili kubaini ukweli kuhusu umiliki wa shamba la Kikuletwa Farm lililopo kata ya Masama Rundugai baada ya kupoke...
Imetumwa: November 20th, 2018
Viongozi saba wa Bodi ya chama cha ushirika cha kuweka na kukopa cha Uswaa Mamba kilichopo katika kijiji cha uswaa kata ya Machame Uroki wamekamatwa na jeshi la polisi Hai kwa tuh...