Kuitwa Kwenye Mafunzo Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opareta
12 July 2019
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Hai; anawapongeza wote waliochaguliwa kufanya kazi ya kuwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opareta pamoja na (Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opareta wa ziada/Reserve) kwenye zoezi la Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Pia anawataarifu kuwa wanatakiwa kuhudhuria Mafunzo yatakayofanyika kwenye Ukumbi wa KKKT-Hai Mjini Siku ya Jumatatu Tarehe 15/07/2019 Saa Moja na Nusu Asubuhi.