MIKOPO
Wilaya imeendelea kuimarisha uchumi wa jamii kwa kuhakikisha upatikanaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu. Kwa kipindi cha 2017/2018 mikopo yenye thamani ya Tsh. 30,000,000.00 ilitolewa kwa vikundi 11 (9 wanawake, 2 vijana). Kipindi cha 2018/2019 zimetengwa Tsh. 126,348,000.00 kwa wanawake Tsh.50,539,200.00, vijana Tsh.50,539,200.00 na walemavu Tsh. 25,269,600.00 ikiwa ni mikopo itakayotolewa bila riba.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai