Mwenge wa uhuru umezindua ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari ya wasichana Machame wilayani Hai wenye thamani ya shilingi milion 138,618,910.99 ambapo mradi huo utasaidia kupunguza msongamo wa wanafunzi na kuongeza idadi ya wanafunzi.
Mkimbiza mwenge wa uhuru kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma wakati akizindua mradi huo amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii sambamba na kuitunza miundombinu hiyo ili iweze kutumika pia pamoja na vizazi vijavyo.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai