Monday 30th, December 2024
@Ofisi za Kitongoji
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unahusisha kuchagua viongozi kwenye nafasi za Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Mchanganyiko) na Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Kundi la Wanawake).
Uchaguzi huo unasimamiwa na Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI)
Wananchi wenye umri kuanzia miaka 18 wanatakiwa kujiandikihsa kwenye Orodha ya Wapiga Kura kwenye vitongoji wanapoishi.
Wananchi wenye umri kuanzia miaka 21 wanaweza kugombea nafasi zinazogombewa.
zoezi la uchaguzi linafanyika tarehe 24 Novemba 2019 kwenye Ofisi za Kitongoji
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai