Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (nafasi 31), Katibu Mahsusi Daraja la III (nafasi 1) na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Nafasi 1) waliofanya usaili kuanzia tarehe 19 - 22 Oktoba 2017 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyorodheshwa kwenye tangazo hili.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai