Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anawatangazia waombaji wa nafasi ya ajira kwa tangazo lilitolewa tarehe 14/07/2017 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili wa kuandika (Writen Interview) utakaofanyika 10/08/2017 na watakaofaulu watafanya usaili wa mahojiano (Oral Interview) tarehe 11/08/2017 kwenye ubumbi wa Maktaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai.
Kuona Majina ya Waliochaguliwa; fuata kiungio hiki http://www.haidc.go.tz/storage/app/uploads/public/598/97c/052/59897c0523aa0220003135.pdf
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai