Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo:-
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 27 Septemba, 2020
Maombi yatumwe kwa
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la HAI,
S. L. P. 27,
HAI
KUPATA TANGAZO KAMILI BOFYA HAPA TANGAZO LA KAZI MAALUMU NEC 2020.pdf
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai