BONYEZA HAPA KUONA TANGAZO tangazo.pdf
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai amepokea fedha kwa ajili ya ukarabati wa jengo la utawala katika halmashauri ya wilaya.
Hivyo napenda kuwatangazia mafundi wote (local fundi) wenye uwezo wa kujenga au kukarabati majengo ya serikali wajitokeze na kuomba kazi.
Mafundi wenye sifa na uzoefu wanatakiwa kuja kuchukua fomu maalumu (schedule of labor or dondoo shindani) katika ofisi ya Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi kwa ajili ya kuzijaza bei za ukarabati wa jengo la utawala lililopo makao makuu ya halmashauri S. L. P. 27 Hai.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai