Friday 2nd, June 2023
@
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE
KUSHIRIKI KWENYE KIKAO CHA BARAZA LA HALMASHAURI KITAKACHOFANYIKA SIKUYA ALHAMISI TAREHE 16/09/2021.
KIKAI HIKI KITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI KUANZIA SAA NNE KAMILI ASUBUHI.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai