• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Kupata Kibali cha Kusafiri Nje ya Nchi kwa Watumishi wa Serikali

NIFUATE HATUA ZIPI ILI NIPATE KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI?                                                                      

SAJILIWA KWENYE MFUMO NA AFISA TEHAMA   

  • Mwombaji hakikisha una taarifa zifuatazo
  • Majina yako matatu
  • Namba yako ya simu
  • Barua pepe yako
  • Idara/kitengo unakotoka Mfano TEHAMA/ELIMU SEKONDARI N.K
  • Cheo chako Mfano Information Communication Technology Officer (ICTO)

HUISHA AKAUNTI YAKO YA MFUMO WA KUOMBA KIBALI

  • Ingia kwenye anuani ya barua pepe yako(uliyosajiliwa nayo), utakuta barua pepe 
  • Fuata maelekezo uliyopewa kwenye barua pepe yako ili kuweka nenosiri/nywila (password) mpya.
  • Kuingia kwenye mfumo tumia https://www.safari.gov.go.tz kisha andika anuani ya barua pepe yako pamoja na neno siri/nywila uliyotengeneza.
  • JINSI YA KUOMBA KIBALI

TAARIFA NA NYARAKA MUHIMU

Mwombaji awe na taarifa/nyaraka zifuatazo kulingana na mahitaji ya Safari (Nyaraka zote ziwe fomati ya pdf)

  1. Namba ya hati ya kusafiria (passport number)
  2. Tarehe ya safari (Iwe siku 21 au zaidi kabla ya tarehe/siku ya safari).
  3. Kiasi cha nauli na posho unayotakiwa kulipwa/kupewa (Kama safari inagharamiwa na Serikali)
  4. Barua ya mwaliko kutoka nchi utakayoenda
  5. Barua ya utambulisho kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (Mkuu wa Taasisi)
  6. Fomu ya likizo kama safari ni binafsi mfano mapumziko/matembezi n.k
  7. Fomu ya rufaa ya matibabu (Safari kwa ajili ya matibabu)
  8. Barua ya udahili, mdhamini na mwaliko (Safari ya kimasomo ya muda mrefu)
    NB: Afisa TEHAMA atakupa maelekezo ya kuomba kibali kwenye mfumo mara tu nyaraka zote zitakapokamilisha na kuwasilisha kwa kuzingatia vigezo vilivyokubalika.

JINSI YA KUFUATILIA KIBALI

Mara baada ya kujaza fomu kwenye mfumo na kubonyeza neno WASILISHA, Maombi yako yatafika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Hai(Mkuu wa taasisi). Mtaarifu ili aidhinishe kibali chako kiweze kwenda hatua inayofuata.

  • Hatua/hali  za maombi ya kibali chako yataonekana kwenye mfumo kupitia akauti yako ya mfumo au
  • Unaweza kufuatilia maombi kwa njia ya simu,
  •  Andika neno KIBALI acha nafasi ikifuatiwa na Namba ya kumbukumbu (Mfn: KIBALI V12345678) halafu tuma kwenda 15200. Ujumbe mmoja utakugharimu Tsh. 100 tu.

Nitakiona vipi kibali?

  • Ingia kwenye akauti yako ya mfumo kisha bonyeza kiungio “Maombi yaliyoidhinishwa”
  • Bonyeza kiungio (link) iliyoandikwa “View” upande wa kulia
  • Kibali kitafunguka na unatakiwa kuchapisha (print) ukiwa ndani ya mfumo

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA FUNDI MKUU UJENZI March 17, 2023
  • KUITWA KAZINI January 23, 2023
  • TANGAZO LA KAZI, MKUSANYA MAPATO NA MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DAWA January 24, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA January 25, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Madiwani Wakumbushwa Kusimamia Kimalifu Usimamizi Wa Mazingira

    March 10, 2023
  • TASAF Wilaya Ya Hai Yatoa Vifaa Vya Milioni 162

    March 06, 2023
  • Chama Cha Mapinduzi Chaahidi Kuendelea Kushirikiana Na Jeshi La Polisi Hai

    March 01, 2023
  • Kata Ya Masama Kusini Yaanza Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari

    March 01, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai