Baraza la halmashauri ya Wilaya ya Hai limeridhia na kuwafukuza kazi watumishi 6 wa Divisheni ya Afya,Ustawi wa Jamii na huduma za lishe kwa kosa la utoro kazini.
Akitangaza uamuzi huo Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Hai, Edmund Rutaraka amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya taratibu zote kufuatwa.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai