• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

DC Hai Arudisha Mashamba ya Wakulima Yaliyoporwa

Imetumwa: July 24th, 2019

SERIKALI wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imemnyanga mwekezaji Cuthberth Swai mashamba anayodaiwa kuyapora kwa wananchi wa kijiji cha Kimashuku kwa madai kuwa alipewa na serikali ya kijiji hicho kwa ajili ya kulinda mazingira.

Mkuu wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amechukua hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa bibi Mary Manjau aliyefika katika ofisi ya Mkuu wa wilaya na kulalamikia mwekezaji huyo anayedaiwa kuvamia eneo hilo na kujenga mabanda ya kufugia mbwa na kuweka mawe.

Pamoja na bibi huyo wapo wanachi wengine zaidi zaidi ya 19 ambao wamebainika leo baada ya Mkuu wa wilaya kutembelea eneo hilo na hivyo kumfanya mkuu wa Wilaya kuagiza wananchi wote waliovamiwa kwenye eneo lao na mwekezaji huyo warudishiwe maeneo yao.

“Nilipokea malalamiko kutoka kwa bibi huyu (Mery Manjau) wiki tatu zilizopita na alikuwa akilalamikia eneo lake akidai limeingiliwa na kuvamiwa na Cathbert Swai, kama alivyoeleza hapa alikuwa amelima maharage ya msimu lakini Cathbert akaja na kujenga banda la mbwa kwa maelezo kuwa amepewa eneo hili na serikali ya kijiji ili atunze mazingira na akija ofisi ya kijiji anasema eneo hili amepewa na Mkuu wa mkoa tangu mwaka 1995.” amesema Sabaya.

Ole Sabaya amesema kuwa, Swai alivamia mashamba hayo yenye ukubwa wa zaidi ya hekari 15 na kufanya shughuli za utalii ikiwemo kufuga wanyama kinyume na taratibu za nchi huku eneo la bibi Mary likiwa ni zaidi ya ekari moja.

Mkuu wa wilaya amesema baada ya kupokea malalamiko hayo aliunda kamati  kufanyia kazi malalamiko hayo kamati ambayo iliwajumuisha wataalamu mbalimbali akiwemo Mwanasheria, Afisa ardhi na mwenyekiti wa kamati hiyo akiwa ni Katibu tawala wilaya na kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kamati hiyo iliyoonesha kuwa eneo hilo kihistoria linamilikiwa na bibi Mary na kupendekeza Mwekezaji huyo kuondoa kibanda cha nyavu na mawe yaliyopo kwenye eneo hilo, alipe fidia ya mazao yaliyoharibiwa na ngamia aliowaachia na kula mazao yaliyokuwa shambani na akabidhi maeneo yote anayodai kupewa na serikali ya kijiji

Katika hatua nyingine mkuu huyo wa wilaya ameeleza kushangazwa na kitendo cha mwekezaji huyo kuanza kusambaza video kwenye mitandao ya kijamii kuhusu tuhuma za kupokea fedha kiasi cha shilingi milioni 10 ikiwa ni baada ya mwekezaji huyo kupokea taarifa za utekelezaji wa maagizo hayo na kuhoji alikuwa wapi tangu mwaka jana mwezi wa nane asitoe taarifa kwa mamlaka husika.

Naye bibi Mary Manjau amemshukuru Mkuu wa wilaya kwa hatua hiyo ambayo amesema inasaidia wanyonge waliokuwa wakionewa na watu wenye fedha

Diwani wa kata ya Mnadani Nasib Mndeme amesema kuwa mashamba hayo wananchi waligawiwa na serikali tangu mwaka 1971.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Bweni La Shule Ya Machame Kukamilika Kabla Ya June 19

    May 29, 2025
  • Vijana Wasauriwa Kutumia Fursa

    May 27, 2025
  • Wafanyabiashara Wa St Stend Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Wafanyabiashara Wa Send Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai