Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Elirehema Kaaya akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo alipotembelea halmashauri hiyo kujionea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano; pia ameipongeza Halmashauri ya Hai kwa kufanikiwa kupata hati safi kwa mfululizo wa miaka minne kwenye ukaguzi wa hesabu za serikali unaofanywa na Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na ujenzi wa Kituo cha Afya kinachojengwa kata ya Weruweru katika kijiji cha Longoi.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai