Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akifuatilia mwenendo wa mafunzo kaz ya Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa maafisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Yohana Sintoo katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai