• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Aongoza Zoezi la Upandaji Miti Chemka

Imetumwa: May 24th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa amewataka wananchi  wa kijiji cha chemka pamoja na  wafanyabiashara  wa eneo la utalii chemka  kata ya Masama Rundugai kuwa na utamaduni wa kupanda miti majumbani mwao pamoja na sehemu zao za biashara kwani jambo la kutunza mazingira ni la kila mmoja na kwamba bila mazingira eneo la utalii chemka haliwezi kuwepo.

Mkalipa ameyasema hayo wakati akiongoza zoezi la upandaji  miti katika chemchem ya chemka ambapo ni eneo la utalii wa maji moto pamoja na chemchem ya Rashidi Kombo zoezi liloloshirikisha  wadau mbalimbali wa mazingira pamoja na wananchi wa eneo hilo.

Mkalipa amesema kuwa wanapanda miti kwa ajili ya kutunza mazingira na kwamba ni muendelezo wa maelekezo ya serikali kupitia ofisi ya makamu wa Rais wizara ya mazingira na muungano kwani kila wilaya ilitakiwa kupanda miti milioni moja laki tano kwa mwaka huu na kwa wilaya ya Hai wameshafikia lengo   hilo na wameendelea kupanda miti  maeneo mbalimbali hivyo ni vyema miti hiyo ikatunzwa ipasavyo.

Kwa Upande wake Kaimu mkurugenzi wa Bonde la mto Pangani Patris Otieno  ambao ndio waratibu wa zoezi hilo la upandaji miti  kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Hai,Ofisi ya mkurugenzi pamoja na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) amesema kuwa katika kuendeleza kampeni ya utunzaji na upandaji wa miti kando kando ya mito, chemchem, na maeneo oevu  wamepanda jumla ya miti mia sita  na lengo ikiwa ni kuendelea kuihifadhi vyanzo vya maji katika maeneo ya Bonde  ikiwa  ni zoezi endelevu na kwamba  tayari wameshapanda miti ipatayo milioni moja na laki tano kwa wilaya ya Hai lakini lengo lao ni kuendelea kupanda miti elfu tatu katika kipindi hiki.

Amesema kuwa swala la uhifadhi wanafanya kwa kushirikiana na wadau  wa mazingira wakiwemo wananchi wanaozunguka  maeneo hayo,taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali na kwamba wanatoa elimu ili watu waweze kujua jinsi ya kuhifadhi maeneo ya vyanzo  na kuhakiksha kwamba hakuna shughuli zozote za kibinadamu zinazofanyika katika maeneo hayo.

Nae mtaalamu wa misitu kutoka ofisi ya maliasili halmashauri ya wilaya ya Hai John Katikiro  amesema kuwa wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kutunza na kufuatilia miti inayopandwa katika maeneo ya wilaya ya Hai na kwamba wamekuwa wakiwachukulia hatua wale wote wanaobainika kufanya uharibifu wa mazingira.

Nao wananchi na wafanyabiasha katika chemchem ya Chemka wamesema kuwa wamefurahishwa na zoezi hilo la upandaji miti na kuhaidi kutunza miti hiyo kwani miti ni sehemu yao na kwamba kupitia miti hiyo wanapata fursa ya kufanya biashara kutokana na watalii kwenda kwa wingi katika chemchem hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Bweni La Shule Ya Machame Kukamilika Kabla Ya June 19

    May 29, 2025
  • Vijana Wasauriwa Kutumia Fursa

    May 27, 2025
  • Wafanyabiashara Wa St Stend Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Wafanyabiashara Wa Send Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai