Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Juma Irando amezindua rasmi mashindano ya kombe la Uhuru (Uhuru Cup) wilayani humo na kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.
Aidha katika uzinduzi huo miamba miwili ya soka kutoka Bomang’ombe Lamasia FC na Kwii sport ikaibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1 dhidi ya Lamasia.
Fainali inatarajiwa kufanyika Disemba 7,2021 katika uwanja wa CCM Bomang’ombe.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai