Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Hai Mhe. Edmund Rutaraka amepiga kura leo tarehe 27/11/2024 katika Kituo cha St Joseph kata ya Muungano.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufanyika kila baada ya Miaka 5,unalenga kuwachugua Wenyeviti wa Mitaa/Vijiji,Vitongoji na wajumbe wa Serikali za ya Kijiji.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai