Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe leo Novemba 27 ,2024 amepiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Uchaguzi unaoendelea nchini.
Mafuwe ameshiriki zoezi hilo katika kijiji cha Uduru kata ya Machame Kaskazini ambapo mbali na kushiriki zoezi hilo amewahamasisha wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai