• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Serikali Yaandaa Suluhisho la Mgogoro wa Ardhi KIA

Imetumwa: June 1st, 2018

SERIKALI wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro imesema mgogoro kati ya wananchi wanaopakana na  kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) utatuzi wake utazingatia sheria  na kila mwananchi haki yake italindwa kwa mujibu wa sheria  za nchi.

Mkuu wa wilaya hiyo, Onesmo Buswelu, amesema serikali imeanza mchakato wa kumaliza mgogoro huo kupitia kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria katika kumaliza mgogoro  huo uliyodumu kwa zaidi ya miaka kumi.

Akizungumza  na  wananchi katika ziara yake kwenye vijiji  vitano vinavyohusika na mgogoro huo, Buswelu amewataka kuwa na subira wakati huu ambapo serikali inaendelea kutafuta  suluhu ya kudumu ya mgogoro huo.

Buswelu amesema serikali itafanya kazi ya kuweka alama za  kutambua mipaka halisi ya maeneo ya kiwanja hicho ili kuweza kuwatambua  wananchi ambao watakuwa ndani ya eneo linalomikiwa na kiwanja hicho kwa ajili ya kuendelea na hatua za ufumbuzi.

“Nchi yetu inaongozwa na kuheshimu sheria. Utatuzi wa mgogoro huu utazingatia sheria na kila mwananchi afahamu kuwa haki yake italindwa kwa mujibu wa sheria; kama mtu anayo haki ya kulipwa basi atalipwa kwa mujibu wa sheria”alisema Buswelu

“Mgogoro huu wa  wananchi wanaopakana na kiwanja hicho umedumu kwa muda mrefu kiasi cha kuwepo hali ya sintofahamu miongoni mwa wananchi hao hasa pale wanapotakiwa kusitisha uendelezaji wa maeneo yao kwa kuweka majengo ya kudumu kama nyumba, zahanati, shule za kudumu hali ambayo imewafanya wananchi kulalamikia serikali lakini kwa sasa tunatafuta ufumbuzi wa kudumu ni vema mkawa na subira”alisisitiza Mkuu huyo wa wilaya.

Akizungumzia hatua ya serikali kumaliza mgogoro afisa kutoka Wizara ujenzi, Mawasiliano na uchukuzi, sekta ya viwanja vya ndege, Mhandisi Rogatus Matigira alisema zoezi la kupima maeneo ya kiwanja na kuweka alama litasaidia kufahamu ukubwa wa tatizo na kufahamu idadi ya wananchi walio ndani ya maeneo ya kiwanja cha ndege lakini pia itasaidia.

“Serikali baada ya kuwa na huu mgogoro muda mrefu wa mipaka kati ya Uwanja wa KIA na wananchi wanaoishi maeneo ya jirani; imeona iangalie ukubwa wa tatizo kwa kupima na kuweka alama ndipo ifanye maamuzi huku ikitumia maeneo ya kia kama rejea itakayosaidia kujua walioko ndani na nje ”.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kia,Yohana Laizer ameiomba serikali kutumia hekima na busara kutafuta namna ya kunusuru maeneo ya wananchi huku akikumbusha kuwa vijiji vya vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria lakini pia wao kama wananchi hawana uwezo wa kuitunishia serikali.

Vijiji vinavyohusika na mgogoro wa mipaka na uwanja huo ni Chemka,Rundugai, Sanya Station, Tindigani na Mtakuja ambavyo vipo katika kata ya Masama Rundugai na Kia.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ameongeza Anna Boniface

    March 24, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai