• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Serikali Yatumia Milioni 300 Kuimarisha Upatikanaji Maji Wilaya ya Hai

Imetumwa: July 10th, 2021


Serikali imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ikiwemo mradi wa Maji utakao wanufaisha zaidi ya Kata sita Wilayani humo.


Mradi huo umegarimu zaidi ya Milioni 300 utakamilika ndani ya mwezi mmoja toka sasa na utatoa huduma ya Maji katika kata za Bomang'ombe,Bondeni, Muungano,Kia, pamoja na Kata nyingine za jirani .


Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Hai Emanuel Mwampashi amesema kuwa  atahakikisha Ujenzi huo unakamilika ndani ya muda ulio pangwa  ili Wananchi waweze kunufaika nao huku akisema kuwa fedha zilizo tolewa na Serikali zitatumika kama ilivyo kusudiwa.


Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali anayo iongoza kwa jimsi anavyo litizama jimbo kwa jicho la upekee katika kutatua changamoto za jimbo hilo.


"Nimshukuru sana mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa jinsi ambavyo anatuangalia wanahai kwa jicho la upekee, sisi tunasema hatutomuangusha". Alisema Saashisha Mafuwe.


Hata hivyo Mbunge Mafuwe amesema kumekuwepo na  Malalamiko kutoka kwa Wananchi kuwa zipo mita ambazo hazisomwi   na wamekuwa wakipelekewa Bili  za maji jambo ambalo ni usumbufu kwa wananchi.


Mbunge Mafuwe amesema atahakikisha anaendelea kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo hilo ili Wananchi waweze kukiamnini chama cha Mapinduzi CCM.


Naye Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Hai Kumotola Kumotola  na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Salleh Kombo  wamesema kwa sasa jimbo la Hai kipaumbele chake ni kutekeleza yale yaliyoainishwa katika ilani ya chama cha mapinduzi ikiwemo kuwaletea wananchi maendeleo.


Jimbo la Hai hasa ukanda wa tambarare limekuwa likikumbwa na changamoto za maji japo changamoto hizo kwa sasa zimeanza kupotea baada ya serikali kuzitatua kwa kiasi kikubwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ameongeza Anna Boniface

    March 24, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai