Sheikh Mkuu wa mkoa huo Mlewa Shabani amesema katika dini ya kiislamu sensa ni moja kati ya jambo lililohimizwa huku akiongeza kuwa hata katika maisha ya kawaida lazima uwe na hesabu ya namna gani utalisha familia yako.
Ameitaka jamii kuachana na Imani potofu kuhusu zoezi hilo huku akitoa wito kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika zoezi hilo huku akiongeza kuwa kufanya hivyo ni kuirahisishia serikali uwezo wa kupanga mipango ya maendeleo.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai