Naibu waziri ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Zainab Katimba amefanya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro wilayani Hai leo tarehe 05 mwezi April 5, 2025 ambayo imeusisha Harambee ya Uchangiaji ujenzi wa msikiti wa Kilashini uliopo kata ya
Akimuwakilisha waziri wa Tamisemi mhe. Mohamed Mchengerwa aliyepata udhulu na kushindwa kufika ametuma uwakilishi wa shilingi million 5 taslimu nae mhe . Zainab Katimba amechangia kiasi cha shilingi milioni 2 kwa njia ya Banki
Harambee hiyo iliyoudhuliwa na viongozi mbalimbali wa kidini na serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Hai Mh Hassan Bomboko na Mbunge wa
Shule ya msingi Nguzonne iliyopo wilaya ya Hai Kata ya Weruweru Kijiji cha Longoi imekuwa ya pili katika shindano la usafi wa mazingira na afya Tanzania bara.
Wilaya ya Hai ina Shule za Msingi 107 ambapo Kati ya hizo Nguzonne ndio iliyofanikiwa kuwa mshindi wa pili ,kutokana na ushindi huo Shule hiyo imekabidhiwa Zawadi ya shilingi milioni 2.
Mwaka jana shule ya Msingi Kimashuku iliyopo Kata ya Weruweru ilishika nafasi ya kwanza kitaifa na kukabidhiwa kiasi cha shilingi milioni 4.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai