Aliyekuwa makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Swalehe Kombo amechaguliwa kwa mara nyinge kuwa makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo.
Kombe amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika katika kikao cha mwaka cha halmashauri hiyo kilichifanyika katika ukumbi wa halmashauri tarehe 03/04/2023.
Katika uchaguzi huo Swalehe Kombo aliyekuwa mgombea pekee katika nafasi hiyo alishinda kwa kupata kura za ndiyo 17 zilizopigwa,hakuna iliyoharibika na hivyo kumfanya kuendelea na nafasi hiyo kwa awamu nyingine.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai