Waendesha vifaa vya bayometriki na Waandishi Wasaidizi wa zoezi la Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura wameapishwa leo na Afisa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai Leo tarehe 8/12/2024 zoezi lililofanyika katika Ukumbi wa KKT.
Uhapisho huo umefanyika ikiwa ni maandalizi la zoezi la Kujiandikisha katika daftari la kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kufanyika tarehe 11/12/2024 hadi tarehe 17/12/2024.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai