• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Walimu Wanolewa Kutunza Mazingira

Imetumwa: February 20th, 2018

Imeelezwa kuwa jamii ya watu wanaoishi karibu na hifadhi ya mlima Kilimanjaro wanao wajibu mkubwa wa kusaidia kutunza mlima Kilimanjaro ili kuendelea kupata faida na huduma zitokanazo na mlima huo.

Hayo yamebainishwa na Afisa maliasili wa Wilaya ya Hai Mbayani Mollel wakati wa warsha ya mafunzo ya siku moja ya uhifadhi wa mlima Kilimanjaro kwa walimu wa mazingira kutoka shule 25 za msingi pamoja na waratibu elimu kata.

Amesema kuwa kwa sasa bado kuna uhitaji mkubwa kwa jamii zilizozunguka mlima huo kuweka nguvu kwa kushirikiana na klabu za mazingira zilizopo shuleni ili kuweka msisitizo kwa wanafunzi kuwa na chachu ya kuhifadhi mazingira.

Mollel ameongeza kuwa zipo changamoto mbalimbali zinazo kabili uhifadhi wa mazingira ikiwa ni pamoja na,uvamizi wa misitu kwaajili ya kilimo,kuchoma misitu,kuingiza mifugo katika hifadhi ya misitu pamoja na ukataji miti kiholela jambo ambalo limekuwa likitishia hali ya uhifadhi wa mazingira.

Kwa upande wake Mgeni rasmi katika uzinduzi wa warsha hiyo Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Hai Edward Mtakiliho amepongeza jitihada zinazo endelea kufanywa na walimu wa mazingira katika shule 25 zinazo zunguka mlima huo ambazo zimeonesha jitihada chanya za barafu ya mlima kilimanjaro kuongezeka au kubakia katika hali ya matumaini ya kuongezeka.

Ameongeza kuwa ikiwa jamii yote pasipo kutegemea uhifadhi huo kufanywa na wanafunzi au shule hali ya mazingira inaweza kuboreshwa kwa miasi ,ikubwa na kuzidi kuleta mafanikio zaidi.

Naye Rais wa Rotary klabu ya machame Raymond Uronu ameitaka serikali kuongeza nguvu katika makali ya sheria zinazo tumika kusimamia mazingira ili sheria hizo ziweze kufanya kazi kama ilivyo kusudiwa.

Uharibifu wa misitu Tanzania kwa mwaka ni Hekta 372,000  ambapo ni uvunaji haramu, moto, uvamizi mipaka,huku Mahitaji ya ujazo wa miti ni M3 milioni 62.3 na kilichopo ni M3 milioni 42.8 hivyo upungufu ni M3 milioni 19.5 kwa ajili ya matumizi Upungufu huu wa mahitaji ni kichocheo cha uvunaji haramu wa misitu na kusababisha uharibifu wa vyanzo vya maji na upotevu wa misitu na ongezeko la hewa ukaa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA, MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MHUDUMU WA JIKONI June 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Bweni La Shule Ya Machame Kukamilika Kabla Ya June 19

    May 29, 2025
  • Vijana Wasauriwa Kutumia Fursa

    May 27, 2025
  • Wafanyabiashara Wa St Stend Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Wafanyabiashara Wa Send Wasikilizwa

    May 22, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai