"Tunashukuru kwa ushirikiano katika hili zoezi, tunategemea baada ya baada ya mafunzo ya Makarani linafuata zoezi zima la Sensa, tunashauri kila Kaya wawe na taarifa za watu walio lala usiku wa kuamkia siku ya Sensa, ikiwa ni taarifa za jinsi, majina matatu na taarifa zote muhimu ikiwemo namba ya kitambulisho cha uraia(NIDA) kwa wenye navyo" Dkt. Joyce Chonjo mkufunzi mkuu wa Sensa mkoa wa Kilimanjaro wakati akikabidhi vifaa vya Sensa Hai
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai