Wananchi wa kata ya Masama kusini wameotosha miti katika maeneo yao katika Kuelekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Zoezi hili la upandaji wa miti umefanyika katika Kijiji Cha Mkombozi kitongoji Cha Zaru likiongozwa na Diwan wa kata ya Masama Kusini My.Cedrick Pangani.
Aidha Mh.Cedrick amesema tukio hilo limefanyika katika kitongoji hicho kwa kuwa wananchi hao wanatambua na kufahamu umuhimu wa miti katika maeneo yao.
Pia amesema wanawndelea na zoezi hilo la upandaji wa miti 2000 ikiwa tayari wameoteaha miti 1650.
Sambamba na hayo amewataka wananchi hao kuwa walinzi katika miti ambayo wameshaotesha kwa kuwa miti hiyo itabaki Kama alama kwa wananchi pamoja na viongozi
Mh.Cedrick ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mh.Dk Rais Samia Suluh Hassan,Mkuu wa wilaya ya Hai Mh,Amiri Mkalipa pamoja na Baraza la Madiwa
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai