chi wa Kyuu wakati wakichangia mada baada ya kupewa elimu mbali za kisheria,linaloendelea kupitia kampeni ya kisheria inayoendelea wilayani Hai.
“kweli utakuta ni ndugu kwa ndugu wamefanya hayo makosa na wanataka kumaliza kwa utaratibu wa masale ,sisi tunaomba tu kama watakuja huko na masala zao ,nyie simamieni sheria zaidi ili matukio ya kuvunja haki za binadamu ziishe”
Awali akizungumzia athari za mila kandamizi katika jamii na namna zinavyo sababisha kukosekana kwa haki ya msingi ndugu Emmanuel ……..amesema kwa wilaya ya Hai wamekuwa wakipata changamoto ya ushahidi baada ya jani hilo kutumika.
“hili jani linaloitwa sale limekuwa changamoto sana katika ufuatiliaji wa haki za mhanga ,kwasababu ndugu wakishapeana sale uwahoni tena mahakamani kutoa ushahidi, hivyo mashauri mengi zinakosa ushahidi mahakamani na watuhumiwa kuachwa huru”
Wanafunzi washukuru kufikiwa na Timu ya Msaada wa Kisheria
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mukwasa iliyopo katika kata ya Masama Kusini wameishukuru serikali kwa kuwafikishia huduma ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid.
Wanafunzi hao wametoa shukrani hizo baada ya kupata elimu ya ukatili wa kijinsia na haki kwa watoto iliyotolewa na Timu ya wataalam wa Msaada wa kisheria huku ikiambatana na utoaji wa msaada wa kisheria.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake Frnansis Hendry amesema elimu hiyo itawasaidia kutambua viashiria vya ukatili na namna ya kutoa taarifa wanapokutana na viashiria vya ukatili wawapo shuleni, nyumbani na maoeneo yoyote.
“napenda kutoa shukrani za dhati kwa Mama samia Legal Aid kwa kutufikishia elimu ya sheria na tuna amini changamoto zilizo ibuliwa zitapatiwa ufumzuzi, tunakushuru sana mama lakini pia tunaomba utaratibu kwa wanafunzi ambao hawana uwezo waweze kusaidiwa ili waendelee na elimu”
“Sisi kama wanafunzi tunapaswa kulindana sisi wenyewe kwa kutoa taarifa ya viashiria vya ukatili kama ambavyo tumefundishwa, na kupitia sisi ukatili utapungua”
Wanafunzi hao pia wameomba wazazi kuwasikiliza na kuwa karibu nao ili kumwekea mtoto mazingira ya kuweza kutoa taaarifa kwa urahisi ya ukatili na changamoto zozote wananzokabiliana nazo.
Kampeni ya Mama Samia Legal Aid inaendelea wilayani Hai kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi walio maeneo ya pembezeni na wasio na uwezo wa kusimamia mashauri yao ikiwa ni pamoja na ardhi,ndoa,miradhi,ukatili,matunzo na mengine mengi.
chi wa Kyuu wakati wakichangia mada baada ya kupewa elimu mbali za kisheria,linaloendelea kupitia kampeni ya kisheria inayoendelea wilayani Hai.
“kweli utakuta ni ndugu kwa ndugu wamefanya hayo makosa na wanataka kumaliza kwa utaratibu wa masale ,sisi tunaomba tu kama watakuja huko na masala zao ,nyie simamieni sheria zaidi ili matukio ya kuvunja haki za binadamu ziishe”
Awali akizungumzia athari za mila kandamizi katika jamii na namna zinavyo sababisha kukosekana kwa haki ya msingi ndugu Emmanuel ……..amesema kwa wilaya ya Hai wamekuwa wakipata changamoto ya ushahidi baada ya jani hilo kutumika.
“hili jani linaloitwa sale limekuwa changamoto sana katika ufuatiliaji wa haki za mhanga ,kwasababu ndugu wakishapeana sale uwahoni tena mahakamani kutoa ushahidi, hivyo mashauri mengi zinakosa ushahidi mahakamani na watuhumiwa kuachwa huru”
Wanafunzi washukuru kufikiwa na Timu ya Msaada wa Kisheria
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mukwasa iliyopo katika kata ya Masama Kusini wameishukuru serikali kwa kuwafikishia huduma ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid.
Wanafunzi hao wametoa shukrani hizo baada ya kupata elimu ya ukatili wa kijinsia na haki kwa watoto iliyotolewa na Timu ya wataalam wa Msaada wa kisheria huku ikiambatana na utoaji wa msaada wa kisheria.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake Frnansis Hendry amesema elimu hiyo itawasaidia kutambua viashiria vya ukatili na namna ya kutoa taarifa wanapokutana na viashiria vya ukatili wawapo shuleni, nyumbani na maoeneo yoyote.
“napenda kutoa shukrani za dhati kwa Mama samia Legal Aid kwa kutufikishia elimu ya sheria na tuna amini changamoto zilizo ibuliwa zitapatiwa ufumzuzi, tunakushuru sana mama lakini pia tunaomba utaratibu kwa wanafunzi ambao hawana uwezo waweze kusaidiwa ili waendelee na elimu”
“Sisi kama wanafunzi tunapaswa kulindana sisi wenyewe kwa kutoa taarifa ya viashiria vya ukatili kama ambavyo tumefundishwa, na kupitia sisi ukatili utapungua”
Wanafunzi hao pia wameomba wazazi kuwasikiliza na kuwa karibu nao ili kumwekea mtoto mazingira ya kuweza kutoa taaarifa kwa urahisi ya ukatili na changamoto zozote wananzokabiliana nazo.
Kampeni ya Mama Samia Legal Aid inaendelea wilayani Hai kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi walio maeneo ya pembezeni na wasio na uwezo wa kusimamia mashauri yao ikiwa ni pamoja na ardhi,ndoa,miradhi,ukatili,matunzo na mengine ndani ya Jamii.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai