• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wananchi Watakiwa Kutunza Miti Wanayootesha

Imetumwa: April 5th, 2018

MKUU wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Onesmo Buswelu amewataka wananchi kutunza miti inayooteshwa katika kipindi hiki cha mvua ili iweze kukua na kukabiliana na hali ya ukame kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini.

Akizungumza katika uzinduzi wa wiki ya upandaji  miti ambayo kiwilaya ilifanyika kijiji cha Mtakuja kata ya Kia, Buswelu amesema kuwa zoezi la kupanda miti limekuwa likifanywa kila mara la jamii imekuwa ikipanda kwa ajili ya maadhimisho na kusahau jukumu la kuitunza.

Amesema kuwa kutokana na wananchi kupanda miti pasipo kuitunza kunafanya nchi kuendelea kuwa jangwa hali ambayo imesababisha hata vyanzo vya maji kukauka na kuepelekea kuwepo kwa mgawo wa maji.

Amewaagiza viongozi wa kijiji cha Mtakuja pamoja na kampuni ya KADCO kuhakikisha  kuwa miti iliyooteshwa inatunzwa na kuhakikisha kuwa haikatwi hovyo, na kwambi hatua kali zitachukuliwa kwa  yeyote atakaye kata miti hovyo pasipo kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa na Serikali

Amefafanua kuwa  Wilaya hiyo  imebahatika kuwa kitovu cha utalii kutokana na kuwa karibu na  Mlima Kilimanjaro ili kuonesha mfano kwa wageni watokao watokao nje ya Nchi, waone Tanzania yenye kujali swala zima la Mazingira.

Awali akisoma risala kwa niaba ya Kaimu Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Albert Mwakipesile  amesema kuwa katika uzinduzi huo  wanatarajia kupanda miti elfu moja na mia tano, na kwa mwaka huu wanalo lengo la kupanda miche ya aina mbalimbali za miti ipatayo  milioni moja na nusu kwa kipindi cha  mvua za masika.

Naye mwenyekiti wa kijiji cha mtakuja, Tehera Moleli ameahidi kuwa atajitahidi kuhamasisha wananchi, kutumia sheria na kuwaelimisha wananchi juu ya faida za Upandaji miti na kuhakikisha zoezi hilo linazingatiwa na kufanikiwa katika kijiji chake.

Kwa upande wake Afisa Maliasili Wilaya ya Hai, Mbayani Mollel amewakumbusha viongozi wa vijiji kitunza na kuilinda miti iliyooteshwa katika kipindi cha mvua ili kuendelea kutunza mazingira kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadaye huku akiahidi kuwapa ushirikiano pale watakapohitaji msaada wa kitaalamu katika utunzaji wa mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Wananchi Wa Hai Wapo Tayari Kwa Uchuguzi

    April 05, 2025
  • Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ameongeza Anna Boniface

    March 24, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai