Watendaji wa vijiji na kata na wenyeviti wa vijiji na vitongoji wametakiwa kyzingatia maadali na mipaka katika utendaji kazi kwenye serikali za mitaa.
Hayo yamebainishwa Leo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na serikali za mitaa na kutolewa na wakufunzi kutoka chuo Cha utumishi wa serikali za mitaa hombolo kilichopo jijini dodoma.
Katika mafunzo hayo wakufunzi wametoa elimu juu ya misingi imara ya uongozi katika serikali za mitaa
Nao wenyeviti waluopata nafasi yakuhudhuria mafunzo hayo wamezungumza namna mafunzo yalivyowasaidia katika kujua kiutendaji katika vijiji vyao
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai