Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa atafanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Hai siku ya Ijumaa tarehe 22/02/2019 ambapo atafanya uzinduzi wa Shule Jumuishi ya Sekondari ya Mtakatifu Pamachius pamoja na kuzungumza na wananchi kwenye viwanja vya michezo vya Halmashauri ya Wilaya ya Hai.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai