Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, Yohana Sintoo amezindua rasmi zoezi la kukabidhi miche ya kahawa kwa wakulima wa zao hilo katika kutekeleza agizo la serikali la kuimarisha kilimo nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Onesmo Buswelu amekabidhi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mifuko 75 ya saruji kuunga mkono ujenzi wa bweni la wanafunzi kwenye shule ya msingi St. Francis wa Asisi iliyopo wilaya ya Hai.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anjelina Mabula abainisha azma ya Serikali kufanyia mabadiliko sheria ya ardhi ili kuwabana wanaokwepa kulipa kodi ya ardhi.
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai