Imetumwa: September 2nd, 2024
Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 2 ya mfano ya awali katika shule ya msingi Mafeto kupitia mradi wa Boost iliyo katika Kijiji cha Mbosho kata ya...
Imetumwa: August 27th, 2024
Serikali inakamilisha utaratibu wa kutoa kiasi cha shilingi milini 500 kwa ajili ya ujenzi wa awamu ya pili kwa kituo cha Afya Nkwasira na Masama kati wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro.
...
Imetumwa: August 21st, 2024
Wafanyabiashara wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamekumbushwa kutumia mifumo ya kielektroniki kwa ajili kupata leseni ya biashara na kulipa mapato mbali mbali ya serikali kama wa...